Posted by Williammalecela.com on Saturday, May 16, 2015
KAMA
mti mbichi unatenda haya, itakuwaje kwa mti mkavu?! Ndivyo inavyoweza
kutafsiriwa kwa Katibu Mtendaji wa Idara ya Mawasiliano wa Baraza la
Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference,
TEC), Padri Anatoly Salawa kufuatia kunaswa kichakani akiwa na mrembo.
Padri Anatoly Salawa akitaharuki baada ya fumanizi hilo. NI SAA 8: 02 USIKU
Kiongozi
huyo wa dini alinaswa hivi karibuni majira ya saa 8: 02 usiku akiwa
ndani ya gari aina ya Toyota RAV 4 lenye nambari ya usajili T 674 ADA
kwenye kichaka kilichopo maeneo ya viwanda na gereji za magari makubwa,
Kurasini jijini Dar.
BONYEZA KUONA VIDEO YA FUMANIZI HILO>
0 comments:
Post a Comment