Sunday, May 31, 2015

Sarah Kaiza ni msanii mwenye kila nyenzo ya kuitajika kwenye mziki kuanzia sauti,studio za Mj records ni za mpenzi wake Master J, hapo majuzi akapata kusimamiwa na menejiment kubwa Tanzania ambayo haijawahi kufeli Said Fela lakini bado Shaa hajafika panapo stahili nakuendelea kusugua gaga.


                     Master J mpenzi wa msanii huyo.



0 comments:

Post a Comment