Tuesday, May 12, 2015

Nimevumilia lkn nimeshidwa jamani.. ‪#‎Nuh_mziwanda‬ ni mchizi wangu wa karibu sana na nimeanza kufahamiana naye Long tym sana na hata kazi zake akitoa mie namsaidia kuzipush ktk ‪#‎Media‬ za za ‪#‎Dodoma‬ hata meneja wangu @erickwangu analifahamu



hilo,Hivyo basi bila ubishi ‪#‎Shishi‬ ni my shem, Ila kwa styl hii daaaa nimeshidwa kuvumilia nikaona ni bora tu share watu wangu 

0 comments:

Post a Comment