Huu ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwa Tuzo za watu, ambapo kwa mwaka
huu zilifanyika usiku wa May 22 pale Hyatt Regency Hotel... Wema Sepetu
ameibuka na tuzo ya Muigizaji wa Kike Anayependwa, Picha Ya Bestizzo
inakukutanisha na picha za Wema pamoja na Team yake ya Endless Fame
lakini kingine cha ziada ni kutoka FastJet ambao wamempa nafasi Wema
Sepetu ya kusafiri nchi yoyote ambapo Ndege ya FastJet inafika...
Wednesday, May 27, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment