Friday, May 29, 2015


@ LE MUTUZ LIVE STRAIGHT TALK:- Kwa majonzi makubwa sana ninasikitika kutangaza kifo cha Mzee Luangisa, Baba wa marafiki zangu wa karibu sana sana na aliyekuwa rafiki yangu wa karibu sana siku zote za maisha yangu. Mauti yamemkuta akiwa New York City/USA alikokuwa ameenda kuwatembelea watoto wake ambao binasi ni watu wangu wa karibu sana tumeishi wote hapa bongo na mpaka tukahamia huko New york, mimi nikarudi wao nikawaacha kule.
 

- Now Maisha ni maisha wote tupo njiani kurudi tunakotakiwa ninamuombea sana kwa Mungu Mzee wangu huyu ambaye kwa kweli alikuwa ni mstaarabu kuliko maelezo yote hapa Duniani aliwahi kushika nafasi nyingi sana kubwa za Taifa like Mkuu wa Mkoa wa MWanza, Ofisa wa Ubalozi China, Mbunge wa Bukoba Mjini na amefariki akiwa Diwani wa Kitengagullo Bukoba Mjini, again Mungu akuweke mahali pema my friend Mzee Luangisa ......AIMEEEN! - Le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment