Tuesday, May 12, 2015

Msanii kutoka nigeria Davido amekuwa na muendelezo mzuri baada ya kutwaa tuzo za mtvbase na kumuonesha njia kufanya collabo na mastar wakubwa wa marekani kwa sasa tayari amekamilisha audio yake na video akimshirikisha Meek Mill
na usiku wa kuamkia jana alikuwa studio kufanya nyimbo nyingine ambayo ipo kwenye albamu yake na star Trey Song iliripotiwa na tovuti ya NET NEWS.

Angalia shot clip ya Davido na Meek Mill studio live hapa
Categories:

0 comments:

Post a Comment