Friday, May 15, 2015

I mean Rais wa Nchi unaondoka nchini kwako kukiwa na machafuko ya ajabu nchi nzima haina amani kisa unataka kubadilisha Katiba kusudi ugombee tena term ya tatu
, unaenda Tanzania kwenye mkutano wa Marais kuhusu amani ya nchi yako, ukiwa Tanzania inatangazwa kwamba umepinduliwa unaondoka ghafla kabla ya kikao kuisha unaenda mahali kusikojulikana and then kesho yake unajitokeza rasmi kwa msafara wa magari mengi na kuhutubia Taifa kwamba Jaribio la kutaka kukupindua limeshindwa na walioshiriki wamekamatwa this can only happen in Burundi na sio Africa no way, this man Nkuruzinza is a genius kwa kweli!!, now what is next? Subiri soon utaiona sinema nzima hii na sababu zake live!!


0 comments:

Post a Comment