SOURCE:- U-TURN BLOG:- MISSY TEMEKE NI KIUMBE WA AJABU SANA ………..
Huyu mtu mzima ovyo nimeona tumshushe chini huku maana anatupotezea time…
Eti now kaweka account private…kha!!! aibuuuuuuu, utajikausha ila ndo watu washakujua…aibuuuuuu……
Za leo? mie nishazoea kutukanwa huko instagram yani nachofanya siku hizi ni kublock tu hizo account ili nisisome
maana nna
roho ndogo nikisoma tu najua ntaandika magazeti hapa mwisho wa siku
nijikute na dili na wale wale vichaa wetu wa kila siku
badala ya kudeal na CCM…LOL….
So last week kuna account huko insta inaitwa WHO_IZ_THE_BOSS
Uwii last week alinipa vidonge vyangu, niliona rangi zoooooote….hahahha
Alafu sasa ananichamba na kunitag kabisa mpaka nikamblock na bado akaendelea..Aliniwekea kama post 3 hivi nakwamba
jamani mwanamke alichambaaaa kha….. Hiyo yote eti yeye mwenye account ni team ZARI na mie ndo siku hiyo
niliweka
ile story ya ZARI na Katunzi…. Kha, hasira akanimalizia utadhani mie ndo
niliempeleka Zari akachune kwa Katunzi…hahhahaha
Basi bwana,
juzi balaa la missy temeke lilivyoibuka huko facebook kuna mtu hapa
akatuma comment kuwa mwenye account ya who iz the boss ni missy temeke.
Mie nikahisi itakuwa ni mtu anaegombana nae anataka kumgombanisha missy
temeke na watu. Zikatumwa comment zingine zinasema hivyo hivyo nikasema
mmh, embu nikachungulie tena ile account…BASI nikasoma vichambo
anavyochamba insta kwenye ile account nikafananisha na matusi
aliomtukana dadake Wema facebook nikapata kama butwaaaa, yani ni
michambo ile ile huulizi mwandishi nani….
Ila still
nikasema sikurupuki ngoja kwanza nimwingie kistaarabu… Jamani mie na
Missy Temeke tunaheshimiana sanaaaaaaaa, huki insta tunacomentiana yani
nampaga macomment kibaooo ya mapicha yake na shoga zake…yani hivyo. Na
rafiki zake wa karibu kama Salma ndo kabisaaa niko nae karibu mnooooo
yani Salma mtu wangu wa nguvu….So sikutaka hata kufikiria huyu Missy
Temeke anaweza fanya hivi
Basi nikamwingia kama mnavyoona hapo juuu… na yeyye akajibu hivi…..
Sikumjibu
tenaaaaaaaa, Sasasa kumbukeni nilimpiga mkwara kwamba nampa 3 hrs la
sivyo gazeti la mzalendo atakalikuta humu atajuta….lol…..
Basi
kajiongeleshaaaa , mie kimya, eti sijui nani ndo anamframe, yani in
short hayo majibu yake ndo yalinifanya nikajua 100% kweli ni yeye
ndo mwenye hiyo account…Eti nimpe muda sijui atafanyia kazi sijui ujinga gani
Akaweka na
tangazo facebook la kumpa warning huyo anaefanya mie nidhani yeye ndo
mwenye account,akanikopi kabisa hiyo status akanitumia…
Huyu mwanamke anadhambi jamaniiiiiiiiiiii, hapana, missy Temeke ni mtu mbaya mnooooooooooo, sio binadamu huu….
Imagine kaenda facebook kamtag na mume wa mtu na kuwapa lawama wakati anajua kabisa huyo mke mtu wala hausiki maskini…
Alafu sasa
ona alivyogeuza maneno eti kaambiwa yeye ndo katuma picha kwa huyo
mwenye account instagram nitukanwe wakati nimemwambie yeye ndo mwenye
account…hahahahha…..Chezea kukamatwa mchana kweupe….
Status hiyo akaweka fb na kumuaibisha huyo kaka na mkkewe for nothing wakati anajua kabisa hawauhisi…
Huyu dada ana wazimu ?????kha…
Basi baada ya kuweka hilo tangazo na ndani ya masaa matatu niliyompa
ALITOA POST ZOOOOOTE ALIZONITUKANA MIMI….HAHAHHAHAHA
AIBUUUUUUUUU, ETI MADAI YAKE HUYO MKE WA NANI SIJUI NDO MWENYE ACCOUNT SO ALIVYOWEKA ULE MKWARA
FACEBOOK ETI NDO ZIKATOLEWA POSTI ZANGU, HUYO MTU ANGEJUAJE KUWA ALITAKIWA KUTOA POSTI ZA MANGE?????
Shame on
you missy TEMEKE, ushankupe gani huu jamani we dada, mtu mzima we mama
jamani, kwenda kufungua account ya hivi mtu kama wewe
designer mkubwa hivyo (huyu na linda ndo matop designer wamarekani,hahahhaha). Shame on you…
Ila we dada sijakumaliza, yani wewe mnafki jamani, nimekuogopa, sasa ulikuwa unanichekea kumbe hunipendi that mucH?
Na
sijakutukana wala kukuchamba sababu ulinisikiliza na kufanya
nilichokuamuru ufanya in 3 hrs…..so I have to keep my end of the
bargain….
Jamani hizi
account za annony za instagram wala msidhani ni za watu wasiofahamika
wenye account ni hawa hawa tunaochekeana nao kutwaa wala sio adui zetu
who though mtu kama missy temeke anaweza kufanya mambo kama haya
jamani….Dah, kani dissappoint sana huyu dada…..
Uwiiii,ila
nimecheka jamani sasa the funny part about this story ni kwamba
mchangiaji mkubwaaaa wa huiyo account ni mariahdushi aka linda ,mrsmalii
sijui nani, yani Linda ndo mchangiaji wake number # ,alafu sasa yeye na
linda ni paka na panya…hahahahhahahahha…wiiiii Linda ukome
unapenda kutukana insta mpaka sasa unachangia kwenye account za adui zako…hahahahhahaha….
Missy TEMEKE hivi Wema alikukosea nini?kwanini umetusi vile we mama jamani? kha! Huyo Zari unamjua?ushawahi hata kumuona live?
Ona sasa matatizo uliongia kisa ZARI. Ona sasa utakavyonekana kituko kisa ZARI….
Jamani this
why sitaki ushoga na watanzaniaaaaaa, this is why, WANAFKIIIIIIIIIIII,
yani mtu anakuchekea usini rohini anatamani akuue….
Ila Eliza
sijui missy temeke ,una dhambi sana we dada, sana tena especially pale
ulipoenda mtag mume wa mwenzio kumwambie mkewe isjui ndo anakuframe na
huku unajua ni wewe mwenyewe…DAH NIMEKUOGOPA KAMA UKIMWI unaofnaya
kuwatangazi wenzio…
We dada
hivi ukimwi bado ni issue kwani? mshamba kweli we mwanamke, ukimwi kitu
gani, utakufa wewe na utaawaacha hao wenye ukimwi .uwii mie nikipata
ukimwi wala sioni tabu tena naishi marekani uwiii sifiiii mpaka
najizeekea kina magic jognson wanaenda 20yrs na ukimwi wanao…kiruuu
YANI Huyu
dada mshamba ukimwi anaona ndo ugonjwa wa kumtukania mtu?Bora mwenye
ukimwi kuliko mwenye cancer au hata mwenye malaria kali maana hao waweza
kufa wakamwacha huyo mwenye ukimwi miaka na miaka….
PS: LeMburulaz mnaosingiziaga watu ndo wenye account huko insta, NOW THIS IS HOW YOU FIND OUT WHO OWNS THE ACCOUNT……..
Ila missy temeke alitetemeka mno na kufuta kweli posti in 3hrs…lol….kha!!! Na nimeona nisimchambe sana
-
May 20, 2015 at 4:40 amMmmmh wameanza kukuchokoza tena81
-
HIYO ACCOUNT ILIPOTAJWA HUMU NILIENDA KUIPITIA KWA JUU JUU NIKAONA JINSI ALIVYOANIKA WATU KAMA KINA WEMA N.K…ILA SIKUONA POST ZAKO…DUH!! UBINADAMU KWELI KAZI…YANI NI BORA ULIVYOJIAMULIA KUJITENGA NAO HAO WATU…..HATA HIVYO NAONA KAMA UMEMUONEA HURUMA FLANI ….JAPO SIJAONA KICHAMBO ALOKUPA….NAONA UMEONGEA KIKAWA SANA HA HA HA HA HA HAH AH LOL…KWELI ROHO YAKO ISHAKUFA GANZI KWA VICHAPO MPAKA UMEVIZOEA….MUNGU NI MWEMA TUMEMJUA KAMA NA YEYE NI MNAFIKI…..KULIKO UNGEENDELEA KULICHEKEA ….
271 -
YANI MUDA MWENGINE KAMA MTU UNAJUA HILI JAMBO NTAKALOFANYA LITAFIKIA VIPI BORA MTU UWE NA SUBRA UKAE KIMYA…MISSY TEMEKE KATIKA GOMVI HILI KAFANIKIWA KUWADHALILISHA WENZAKE….NA KUWAGOMBANISHA MANA KILA UMBEA ALIOAMBIWA NA HUYU KAUPELEKA KWA YULE…..YOTE ALOONGEA NA A KAPELEKA B….KWAHIYO HATA HAO A, B, C,D, KWA SASA WANA VINYONGO WENYEWE KWA WENYEWE LABDA WAWE WAMBULULA MTU AJUE KABSAA WEWE UMEENDA KUKAA NA MISSY TEMEKE UKAMPA SIRI ZANGU HIZI NA HIZI HALAFU BADO NIENDELEE KUKUITA SHOGA ITAKUWA UNAFIKI……KWAHIYO MISSY TEMEKE KAFANIKIWA KUWAVURUGA NA KUWADHALILISHA….NA MUNGU NAE HAKUMUACHA NA YEYE NAE KISHAVURUGWA TAYARI WATU WOTE ALOWATUKANA KWA ACCOUNT YAKE FAKE YA INSTA NI MAADUE ZAKE SASA …NI AIBU YA MWAKA….YANI KAUMBUKA VIBAYA SANA…….HALAFU NASHANGAA SANA MWANAMKE AMBAE ANALALA NA MWANAUME JUU YA KITANDA NA ANATOMB**NA ATI ANACHEKA MTU AMBAE NI MGONJWA WA UKIMWI…..MAMA HUJAFA HUJAUMBIKA MRUDIE MUUMBA WAKO….SAWA UMELIPIZA KISASI KWA WAO KUKUSENGENYA LAKINI WEWE UMEVUKA MIPAKA……
480 -
JANA NILIAMBIWA MIMI NDO MISSY TEMEKE ….WACHA NIJICHAMBE MPAKA NIKOME HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA HA
190 -
Good day Mange, nimekupenda bure, jinsi ulivyoongea na miss T, umeongea kwa jinsi ambavyo yeyote atakuelewa bila shari, hujatoa siri, hujatoa udhaifu wake wa ndani, hujatukana. yeye kama anajielewa atabadilika tu.
wivu unaua , wivu unatoa utu, wivu jamani acheni wivu, Miss T acha wivu. hivi watu unaoheshimiana nao unawezaje kuwatolea maneno makali , kuwatukana, wee dada wee kwani huna hofu ya MUNGU, tuseme mwenzetu hujui kama MUNGU hapendi hivyooo!
jamani jamani hivi mtu mnafiki unathubutuje kwenda kanisa/ msikitini wakati kuna watu wanakuona kama ndugu kwao kumbe kunguni unang’ata na kuwauma. Ushauri kwa miss T. omba toba MUNGU akusamehe ili hata wale uliowakwaza MUNGU awajalie wapate amani.
290 -
MANA NI BORA MANGE ANAMSEMA ZARI LIVE AU WOTE WANAOBORONGA ANAWAPA ZA USO LIVE….KULIKO MISS TEMEKE ANACHOKIFANYA NI UMBULULA NA UNAFIKI KAMA KWELI WEWE MSHUA WAELEZE WATU USO KWA MACHO MANA MISSY TEMEKE NA DOUGIE MASTER HAWANA TOFAUTI…..MIE HATA LEMTUMBOZ MUDA MWENINGE NAMKUBALI MANA SI NAMFIKI MUDA MWENGINE….JAPO MARA NYINGI ANACHEFUA…..LAKIN LEO UKINIWEKEA LEMTUMBOZ NA MISSY TEMEKE BORA LEMTUMBOZ WALLAH…MTU KAMA MISSY TEMEKE NI NDULI HASA…DOUBLE FACE LOL.
275 -
I think she got carried away with the anonymous waliokuwa wanampump on fb without revealing their identity to public if you notice her supporters opened new accounts specifically for the mchambo tena wanamwambia mpe mpe..well unfortunately you are a wife,mother of two and WAS a respectable person at some point… notice I said at some point lakini kwa hili ulofanya kama watu wa primary manna sio hata secondary umeonyesha you are a poor kiongozi na inahofisha sana kufikiria watoto wako wanajifunza mini kwako.. Hivi huyu mume wako anakuadvise kweli haoni hii ni ainu kwake na familia.. mimi sijaelewa tunakuwa na patners kwa nia gani yani… this is the time he should have stepped in and say stop this.. unfortunately nae ameonekana mburulazzz… you have so much to loose miss T you started this and your opponents kept quite wajanja. Bado ukaendelea mie ningetoa post fast fasta haya sasa yamekuwa haya
240 -
khaa?? eti atatumia nguvu zake zooote kuwachafua?? kwa nguvu gani alokuanazo?? au kwakua anatengeneza vile vinembe vya bendera za taifa anavaa ndo anajiona ana nguvu uwiiii pichwa kubwaa kajambie mtoniiiiii
161 -
Huko insta jamani wa tz mnatia aibu, hizi timu ndio usiseme, fake account kazi zao ni kuchamba watu tu, haya even chagga nae timu wema, usije ukamfanya ushoga huyu, badala kusaidiana mambo ya maendeleo, hizi timu zimekuwa kama fasheni, ni unafiki kupindukia wengine watu wazima ila wapo tu
280 -
huyu miss tmk basi anashida anaanisha shari kumbe haiwezi, nimeona hata chagababy nae kamtia mkwara afute matusi ya dadake wema, sasa anatukana familia nzima, na alivyomkavu sasa utasema kanyonywa damu.
200 -
mange chamba mnafikifi Huyo…kama angekuwa anakuheshimu asinge kuchamba vile IG….ni mnafiki kufaaaa
tembea nae….mpuuzi sana
121 -
Aiseeeeeeee mm hata sielewi kwanza wadau naombeni kujua missy temeke ndo nani?na kwann anaitwa miss temeke?alkuwaga miss temeke?
241 -
Yaani hivi kwann wabongo sis ni wanafki na hatupendani hata kidgo? labda sababu ya umaskini na fame! yan mtu anaweza kukupa maji yenye sumu na tabasamu ndo ninavyotafsir kwa wabongo, yaan anakuchekea huku anakumaliza!
waache ujinga watafte hela na sio kukesha kutibuana nyongo!
afu hyo naiona sana kwa mastaa nahis kikubwa kunakuwa na personal interest hapo either kutafta ukarbu apate bwana na yy ama asipoteze umaarufu…………
nawachukia mastaa wa tabia hizo mfyuuuuuu
140 -
aibu yake huyo Miss Temeke……, mie niliiona full kumsema Wema Khaaaaaa watu wegine siji wanatoa guts wapi
112 -
Icho kiswaili chake anavyoandika utadhani kasoma Congo.
eti ‘Ongeya vizuri na mkewo. Du!!shule nzuri jamani.
611 -
Mange nawe!!! Huu ndio “Utamu” uliotusababishia wenzako kuchukua sick leave!??? Kha!!!! Itabidi nikakate rufaa. I swear kuna mwingine tuu ubuyu, huu sio wenyewe. Sasa nachowaomba tukifanye, twendeni kwenye hiyo acc na kuanza kui report, by sunday iwe imepotea. Mimi sijawahi kumfollow huyo mama TMK, maana hata kwenye umisi hayumo tena, umezaa hadi umekongoroka halafu bado tuu unajiita miss. Hebu waachieni wenye sifa zao za umisi. Anajipendekeza tuu kwa zari!!! Umejiaibisha tuu, maana wote uliokuwa unawatusi, wamekunyamazia kama msukule. Utajiju bibi TMK!! Kwanza una paper au ndio wake wale wenye stress za kukaa ulaya miaka mia bila kurudi makwao????!!! Wivu tuu unawasumbua, tena mkiona mange anaenda Tz kupeleka nguo, ni kama dar- moro!! Hahaaaaa!!!! Mnakimbilia kuolewa ili mpate mapepa au?? Sasa mnajutia kwa kujiita misi. Misi gani hajatudi kwao kuufanyia kazi au kutoa feedback kwa mkuu wa miss tanzania. ?? LMAO. BYE!!!
553 -
HAHAHAHAAHAH mANGE LEO umejua kunipatia,,,, yani umeongea nae kihekima.. kiutuuzima mpaka raha…
aibu aone yeye..
222 -
Huyu ndie inasemekana alimchomea Ommy Dimpoz akarudishiwa Airport, kisa tu Ommy amepiga picha na Wema na ametengeneza Video na Wema. Mrs Mad unasahau kuwa Ommy Dimpoz ni wa kutoka Kigoma kama wewe ulivyo? Kisa cha kumfanyia mwenzio unyama kumbe wewe mwenyewe makaratasi huna?
Halafu ka Ommy masikini kalivyo kapole naona aliamua kumuachia Mungu na ndiye yeye amekuumbua.
Zamani dada yako Salha alikuwa anakuchamba usiku na mchana, na anataja siri zako zote lakini mie nilikuwa naona aah labda ni mdomo wa kimanyema tu. Sasa nimeamini na kuthibitisha alichokuwa anasema Salha ni cha ukweli, hakuna moja alichokusingizia.
Mange huyu dada kaa nae mbali kabisa wala usirogwe kufanya nae urafiki hafai kwa kulia wala kulumangia.
381 -
Siku zote adui yako ni mtu wa karibu nawe!! Mi nazidi kuwahusia; shikamana na ndugu zako wa damu. Kama huna ndugu , basi jitaidi uwe na rafika mmoja. Ule ushoga wa Vikundi umepitwa na wakati. Only jobless mamas ndio wanauweza. Lol.. Minkusema ukweli mashosti zangu ndio nyie, sina habari na wanafki wa ulaya. Bora nimalizie stress zangu humu kwa blog ya mange!!! Nyie mnaopenda kualikwa kwenye vipati ili mkale vitumbua na chapata ndio mnaopata tabu na hizi issue za umbea, kwani wengi wenu hamjui hata kupika vitu kama hivyo makwenu!!! Hahaaaaaa. Mpo wapenda minusoooo??????? Jiwe hilo
761 -
nilijua mange lazima ulete huu upupu humu ….kwani wewe unanini mbona ukiambiwa husiki? watu wote walishajua kwamba mwenye ac ni missy T sasa nini, jana kuna mtu kakuandikia gazeti humu usilete na ukajibu umemuachia dogie… mange tunajua huna kifua cha kuvumilia ila kuna mambo ya kupotezeaa kama hili yani leo sijapenda sio kwamba niko upande wahuyo miss T maana simjui ila sijataka wewe uje umu address humu nikumpa kiki isiyo na mpago fyuuuuuuuuuuu
5412 -
Huyu Dada kwa picha zake Mumewe na Watoto huwa anaonekanaga ni mtu mwenye Furaha na Upendo ….kumbe holaaaa , ama kweli usiamini kila ukionacho , Mungu kakupa Familia watoto wazuriiiii bado unatukanana Mitandaoni ! ! mwe !
432 -
Mmmh kiukweli naona tu miss temeke sijui kamtukana mtu anaukimwi,kwanza nataka nijue kamtukana nani?pili huyo miss Temeke alikuwa miss temeke au alijipa tu hilo jina,maana kuna cku niliona picha kwa le mbururaz pic yake ina caption ya mtoto mkareee Miss Temeke sasa sijui ndio huyo au mwingine
151 -
So unaendelea kuitangaza Temeke kwa Mitusi …kiruuuu wana TMK Mpogo ?? Huyu abadilishe jina aitwe MRS Mume wake , kama Umiss hata Bi Sitti Mtemvu ni Miss Temeke , we need one miss Temeke per season …..wewe ulishapita , tupishe siye
370 -
Sasa alivokua anamshtaki dada wa watu kwa mume wake si angemletea shida jaman mambo gani hayo,ungemchamba tu Mange kwa kweli coz ana roho mbaya kwann afanye ushenzi huo.
181 -
Haya wala siyajui jamani, zaidi nimeona hicho kiswahili tuu. Tunapondaga mamiss wasiojua English ila mi huyu ndo kanimaliza sasa.
140 -
Alafu yule mchaga asiyejiamini wa minesota eti alimchimba biti missy T kujakuambulia hakuna posti yoyote miss t aliyetoa sna sana yeye ndo katoa posti…jamani msimuige mange huyu kapinda sikunyingi hana anayemuogopa anakula hela yake hategemei ista kujiuzisha sura…huddah jana kashikwa kujikweza hakuna maana mrs meru kaweka post yule bilionea atl alivyomuumbua kujitia alikuwa kwenye party na watu wa maana kumbe kalikuwa kana dinywa jamani ishini kwa uhuru muache show off za kisenge
252 -
Kumbe yule kaka alichomewa jamani!!! Inasikitisha sana kama kuna watu wana roho mbaya.
150 -
Hatimae Miss T katokelezea kwenye Uturn Hall of Fame, yeeeeeeyiiii. Naona atakuwa anachekelea kimoyo moyo huko aliko. Bado mama ya Jackport Bingo na yeye akiona kumtukana Wema peke yake hakuwezi kumpa kick ya kutosha atahamia huku Uturn.
Huyu mwanamke anakuja kutukana humu tani yake kama team Zari, lakini bado anajibebisha kwako kutaka ushoga? Mnafiki huyo achana nae na wala usimpe promo tena hapa. Zamani ulikuwa humjui lakini sasa umeshamjua kaa nae mbali, waswahili wanasema mbwa ukimjua jina hakupi shida.
112 -
Mange ndio ushuzi gani huu? Kutuharibia mood tu ya kuwatoa ccm. Hivi vingine vingine spare us please … Ila hajakuudhi sana jinsi unavyochambaga mwee…
171 -
Mange bado unafanya diet? yaani you look good mnooooo…..tupe siri wenzio
83 -
Halafu umiss gani huo usiokuwa na hata mwaka? Mbona Wema anaweka alikuwa Miss Tanzania 2006, sasa wewe umiss wako hauna time? Sasa hivi binti yako ndio anatakiwa aitwe Miss sio wewe tena. Huo mtaji wa Miss hauna tija tena.
Nyie wadada mnaokwenda huko Majuu kisha mnaanza kutafuta sifa za kijinga jinga, hebu acheni huo upuuzi wa kujipaisha bila kisomo wala mali. Mmefika huko kuna shule za kumwaga, hasa Marekani kulivyo kuzuri wala hawaangalii huko nyuma ulisoma kitu gani wanachoangalia ni uwezo wako wa darasani. Rudini shule mkasome ili hata msipoweza kurudi nyumbani kujenga taifa angalau huko mliko mtaweza kuwalea watoto wenu kama wamama wasomi, na mtaweza kuwa na uwezo wa kuchanganua mambo. Wanawake wenzenu wa Bongo wako busy kusoma shule za jioni, wako walioishia Form Four sasa hivi wana diploma na degree zao za Open University, nyie badala ya kusoma mmekalia majungu tu.
Mwisho alikwambieni nani kuwa mkijisajili kwa majina ya uwongo hamtajulikana? Hakuna anonimas dunia hii khaaa kweli
400 -
Haki yanani mi siamini kama Mange ndo kaandika hivi wai haujaumalizia vizuri huu ubuyu.
Huyu mwanamke ni mnafiki,mfitini namba moja hahahaa yaani nimecheka katishiwa kidogo tu akapaniki na kuitoa post mara moja.
Ukiona mtu hawezi jitoa mhanga kama Mange na kumface mtu ujue anamatatizo wote na dougmaster19 ni wale wale wasiojitambua , wenye chuki, wanafiki wakubwa. Mtu unachekaje naye halafu anakutukana kwa akaunti fake mavi yenu msonyooooooooooooooo
Hiyi huyo miss temeke anauchizi au maisha yameanza kwenda mrama maana huko FB anatukana kama kuna anataka kuondoa stress fulani hivi.
180 -
yani Dada mange umetuhalibia mood mie nilijua ushamalizana nae…
tuletee maubuyu ya kaka wa taifa kwamba anakademu UK sasa naskia baby mama tumbo joto…..
mie nasubilia ubuyu wa diva of the nation( wema sepetu) mana ananikosha sana bila yeye magazeti hayauzi bila yeye watu hawapati kick mjini yani kila kitu bila wema ni sheeeeedar :
broken-heart
miss Temeke gani mbn kakomaa sura kama fundo la goti
254 -
huyu mwanamke yuko stressed inaelekea useless woman!! From nowhere unaenda mtukana mtu public eti ana ukimwi sijui surgery etc……???? is she confused??? By the way, watu wanapataga wapi muda wa kumanage account original na fake insta, kupost na kutukana facebook, kulea mume na watoto, kufanya kazi kutafuta pesa etc??? halafu Mange huyu unampa kiki tu. Mwenyewe kafulia hana hata mng’aro wa mamtoni. http://www.stresszamtoni.com
160 -
Dear Missy Temeke,
Yani I was hurt so bad after reading your post about Wema’s Sister..ivi kwa dunia yaleo ww bado unaweza kumsema vbaya mwenzo kisa they are HIV+!??Being positive is not a death sentence anymore. It’s not the end of the world. HIV is just a little bump in the road. Iam 25 yrs old and I was diagnosed as being HIV+ 17 yrs ago and am living a good life and I have no regrets or angry at all.
Now the best you can do is to thank God tht you are HIV- (if at all umewahi kupima)and stop badmouthing People..the best you can rather do is to keep safe and pray for your kids..Miss T, just because you are living in a glass house..it doesn’t then give you the audacity to throw stones!May the good Lord have mercy on you and your family.
amOUT!
1481 -
Binadamu ni kazi sana Mange wanafiki kama nini. Ila umemchamba ki saikolojia
90 -
Hakuna cha ubuyu wa kaka wa taifa wala nini, mbona inajulikana siku nyingi kuwa huyo ndio wife wake akiwa UK. Hata hao wanaojidai dada zake wanajua sana, huku wanamla kisogp mganda wa watu. Bado mke wa Houston akiendaga Marekani anamhudumia.
Chezea wanaume wa Kibongo ukadhani umepata kumbe umepatikana.
Ni wako akiwa kwako, akiwa nje si wako. Sasa sijui hayo nayo sio makombo
194 -
Ila mi bado nausubiri ubuyu halisi, hii ilikuwa chachandu tuu ya kufungulia siku. Mange huko kwenu leo si ndio ile kesho!? Maana tulivyopishana masaa!! Mi bado nasubiri ubuyu mtamu, huu wa leo nadhani pilipili nyingi kuliko hata rangi.
240 -
LEO NIMEPATIKANA, YAANI NINAVYOPENDA UMBEA ABBATRIX UMENIPATA KWELI
NIMECLICK HIYO SITE YA STRESSZAMAMTONI KUMBE SI YA KWELI
NAPENDA UMBEA BALAA, IKO SIKU NTAKALISHWA KWENYE SIAFU NDIO NITAACHA
150 -
Jamani wana utani wengine hatumjui huyu insta hatupo…who the fuck z she…???????miss tigo miss t nani huyuuu kijambio
90 -
Alafu hii account wanajuana na zarina mana naona anaifollow mimi huyu dada sijawahi mpenda yaani namuona km wanaendana na dai navile anamuitaga mwanae Mi naungoja ubuyu wa demu mpya wa dai wa UK jamaniii mwageni basiiiiii
143 -
Mange usimpe tena uyo kiumbe airtime cz apa ushamuongezea followers buku
kikubwa twendeni tu tukafanye tulichomfanyia zinja….. REPORT
71 -
Megan
May 20, 2015 at 9:14 am
Reply
Dear Missy Temeke,
Yani I was hurt so bad after reading your post about Wema’s Sister..ivi kwa dunia yaleo ww bado unaweza kumsema vbaya mwenzo kisa they are HIV+!??Being positive is not a death sentence anymore. It’s not the end of the world. HIV is just a little bump in the road. Iam 25 yrs old and I was diagnosed as being HIV+ 17 yrs ago and am living a good life and I have no regrets or angry at all.
Now the best you can do is to thank God tht you are HIV- (if at all umewahi kupima)and stop badmouthing People..the best you can rather do is to keep safe and pray for your kids..Miss T, just because you are living in a glass house..it doesn’t then give you the audacity to throw stones!May the good Lord have mercy on you and your family.
amOUT!
oohh Megani ,wat a touchy msg,may the olmyty God keep protect you and fyt for you always,Mungu mwema you will live to witness ur grand children ,n every one who is HIV sero status positive in here and every where weather its us or our people may God keep protecting us and make every one live a very very very long life,Amen.
its very true +HIV is no longer scaring issue jamani,its very okward wen mtu anamcheka mwenie who is HIV sero positive n bdo ur living in this world,hata ukijifanya huchapani but unaishi unabreath unatembea,kuna ajali watu wanaambukizwa ktk mipasuko tu,kwani unauhakika huyo unaemsema ni alipata kwa njia ya ngono??plz the so called miss temeke usirudie tena huo ushuzi wako,na yoyote mwenye mikato hiyo hey thats acting silly.
Mungu tubariki wote.
Mungu mbariki mange hata anatukumbusha mengi sana na nafasi zetu ktk jamii n wat to do n wat not to.Amen.
430 -
Jamani huyu dada ni mchonganishi DC nzima wanamjua. Nia yake ilikuwa kuwachafua wadada wa watu. Kaona Maisha Yao yanawaendea vizuri. Kaandika ma ujinga ujinga mtu mwenye Akili timamu ukisoma unajua ni uzushi, uongo na uchonganishi ili mradi awachafue wadada wa watu. Sisi watu wa DC imetuuma Sana, Kila mtu kamdharau huyu miss Temeke. Mange tunajua imekuuma Kwasababu hujamkosea, hata Hawa wadada hawajamkosea Kitu. Lakini mungu kaamua kumuumbua.
161 -
miss t ni mchawi kabisa, mama mtu mzima una watoto na mume unawezaje kukaa na kuandika maneno makali vile. Kweli Mungu anakulaani ona sasa unavyoumbuka. Au ni hizo hela utakazolipwa za zari kuja kuzalia marekani ndo zinakutoa ufahamu? Unaroho mbaya ndo maana unazidi kukakamaa tu na wembaba kama waya wa charger.
Huo ukimwi unaushadadia wenzio ivi huyo mumeo unamfunga kufuli asiulete ndani au hao wanao unajua wataishi wapi? Ebu muogope Mungu ww bibi khaaa. Hapo ulipo unavyuma mgongoni bado hujionei huruma. Ebu mrudie Mungu tubu dhambi maana unatia hutuma.
173 -
Nashindwa kuelewa yani mtu mzima unakuwa na fake acc kwa sababu ya kutukana watu. Sijui wanapateje muda wakufanya madudu kama haya..
10 -
Yani huyo Malaya nimemchamba hadi kaniblock, mamae zake, mshenzi sana huyu mwanamke, sasa ivi anajifanya eti anagombanishwa, amgombanishe nani mkomavu yeye, kwa taarifa yake hakuna mtoto wa sepetu aliyefanya plastic surgery hata mmoja, mbweha kabisa. Bora Mange ulivyo hunashoga, Kama alivyojisemea koku, shoga zake wahumu maana mnachangia mwisho wasiku hamuonani, stress free, yani hadi nimemtumia Mr Matope msg ampe talaka huyu mwanamke na kama limbwata limemzidi atuambie tumsaidie kumtoa humo, mwanamke gani muuaji, yani wanga ikifikaga siku zako huumbuka maana, huyu Bibi anapaa ati asiyejua nani, yani Mange sijui kwanini umemsamehe walahi, angejua kwanini mwanamke akawa mwanamke na wakawa wanawake, shenzi type mxeeeeew
50 -
Jamani wacheni hizi fake acc mnazo tukania
Mwisho manakuja kuumbuka kama hivi…
20 -
Kwa mtazamo wangu age ya Diamond kutulia na demu kazi saaana….Zari lazima ilo alijuwe….Si wanamwita Sukari ya warembo.
61 -
Loooooh!!!Hands down to some Tanzanian women!!!Gosh!!!Why pretending loving someone while you don’t..Mange let her be maybe she is going crazy with the life out there so don’t give her credits here!!!Mange i love you i came to realize your the realist chick eveeeeer…People judge you and all shit but heey your the real chick..You speak the truth and only the truth..At first i used to think you might not be a good person but hey i was wrong..All you write her is the truth and always someone who speaks the truth alot of people will not like you cuz of them being Hypocrites…You have said it all about Huddah but at the end people and herself with that big head for nothing(Zari)say your an old woman and all but today it has proved you were right 100% she is forcing issues so people wont know she is the mule..LoL…Na bado wataaibika sanaaaa…Next Catherine Shawa pretending your dating Davido and nowMichael Essien
..WONDER SHALL NEVER END OOOOHO
72 -
Kuandika kwenyewe hajui eti chezeya,mwambiye,sikiya nk!kha!!ila wanawake watz mnaokaa marekan mnatia aibu!mko so desperate!!
80 -
HIVI MMEGUNDUA WATU WENYE ACCOUNT FAKE ZA KUTUKANA WATU INSTA O YAANI NI WAMAMA WENYENDOA ZAO NA WATOTO YAANI NI WATU WAZIMA HASWAAA. MI MWANZO NILIJUA WANAFUNZI WA CHUO LAKINI HAMNA BWANA. HEBU NYIE MALAYA WAZEE MTU LIE UKO KWA WAUME ZENU MLEE WA TOTO MBWA KOKO NYIE
43 -
Mange achana na hii drama na huyu mtu anaejiita who is the boss, your just wasting your time.Mange pls acha drama usijiingize kwenye mambo ya watu kwani ukinyamaza hata kama mtu kakuchokoza utadhurika kwani. Unajishushia heshima asee maana karibia watu wote unaogombana nao hamna hata anaekujibu huyu who is the boss atafanya atakalo coz nobody knows yeye ni nani kila mtu anakisia tu
717 -
ANA WIVU SAANA HUYU MISS T SIJUI USHUZI WA DC….MCHAWI MWENYE MAPEMBE…KAKOMAA HADI MAINI..
41 -
Kweli education is sexy. Wanawake mpende kusoma muaachana na haya mambo ya kipumbavu mbona yalishapitwa na wakati hata watoto tunaowazaa kipindi hiki (watoto wa .com) huwezi kusikia eti wanasutana. Mange na wewe sio kila kitu unakileta huku hebu vingine umaliziage huko huko insta kwenye uwanja wa msutano na matusi, kuvileta huku unashusha hadhi ya blog. Jinsi ulivyoizungumzia Bill ya ‘shut up Tz’, ujinga wa CCM na uwizi wa Voda inaonyesha kuwa wewe ni critical thinker, sasa ukileta na haya maumbea ya insta inakuwa tabu kukuelewa kwamaana hayo mambo ya insta na IQ yako ni vitu viwili tofauti. Ni mtazamo tu kama utakwazika I am sorry.
134 -
Kweli wanawake wa Kitz Mungu atusaidie yaani Zari ndio anawatoa akili kiasi hicho? Kweli urithi mzuri kwa mtoto ni elimu awe wa kiume au wakike. Watu wangeelimika wala wasingekuwa na huu ujinga. Instagram inawatoa akili wamama wazima kwakweli inachefua yaani insta imekuwa ni uwanja wa matusi na kashfa.
90 -
Shikamoooo Muke ya LA Umekinukishaaaaaaaaaaaaaaa Kwikwikwiiikwiiiii…….Huyu Miss T ni MCHAWI MKUBWAAAA huyu Anaa ROHO Mbaya mnoo hapendi wasichana wenye NYOTA …Akikuona Unang’aa tu Anakuchukia..Wewe mwenyewe Mang hakupendi sana huyu Miss USHUZI..Alikusema mnoo back then ulipokuwa Unasema una Deep Mawazo ila utakuja KUSHARE..Alikuchekaje na kukusanifu…Alisema eti ulimpigia simu na kumwambia Mume wako Alikuwa Mgonjwa na hujui utaishije…Hiki Kimama ni Hatariii sana sana kwa jamii..Kina stahiri kuishi MISITUNI NA WANYAMA WENZIE…Mshenzi Mkubwa huyu.
100 -
Megabillions eeeh, megabilioni eeh, levels baby, levels
Koku fumbo hilo fumbua wewe si ndio mkuda wa Uturn Mange hakuna kumsaidia
51 -
Missy temeke daaaah! Fitna kweli unaiweza dadaangu.Acha nipite zangu sitaki kuongea mengi saaaaana…
281 -
Bbi ushungi yupo wapi aje kukusaidia mwanahizaya mkubwa.wapi becky minjino wapi kachanje sijui kachenje wako wapi leo.
70 -
Mange lol ka pc kangu kamestuck siku ya tatu umbeya unanipita mweeee, hapa natumia pc ya staff mwenzangu
back to miss temeke naona siku hizi umaarufu umekuwa rahisi sana mtu ukitaka ujulikane kwenye social media basi mtukane wema, mange na watu wenye majina yao dk.5 tu umeshapata follow 50000 na kila blog inakupamba wewe ngachoka miye, mana uyu mama ata sikuwahi kumsikia lol ila ameshakuwa star tayali
101 -
tunga sentensi kutumia maneno yafuatayo
ongeya
ingiya
nitatumiya
leka dutigite mweh!
90 -
IM SO MAD! Yaani hizi simu balaa! Mange nilikua nimekuandikia kitu cha maana SANA….bahati mbaya nimebonyeza something PAP si page ikajirefresh bwana…gazeti langu looote lime disappear!! SINA HAMU! Na sina energy kuyarudia yooote nilioyaandika TENA! AARGGHH
50 -
i wouldn’t waste my precious airtime with miss temeke. rafiki yake salma ni mtu mzuri sana ndo maana hadi leo bado ni marafiki. miss T ni mchonganishi na mmbeya DC nzima hakuna. halafu eti na yeye ana mume, seriously! naona miss T kamkalia mumewe hata kupumua hawezi, mwanaume gani mkeo anatukana hivyo hata hum-displine si ushoga huo (in Nay’s voice)
94 -
Huyu dada nnamfollow insta na ni friend wangu Facebook for years, nnavyomuonaga kama mtu flani anaejiheshimu lkn toka amtukane Tutu nimemshusha thamani ghafla
Na nimemuunfolow insta amen I disappoint sana sana
Kweli umdhaniae ndiye kumbe sie
Na tatizo la unafiki nje ya nchi kwa sisi watz nnaona limekua janga la taifa, no one to trust
81 -
Kwa huo mkwala Missy T aliowapa hao mtu na mkewe….kwa hesabu yangu ya upesi upesi, inaonekana kua huyu Mke Wa huyo baba ana saidiana na Missy T kumiliki hio account na ndio maana Missy T straight away akakurupuka kumuwakia huyo mwanamke! Siri ya hio account ilikua yao hao watu wawili….so kama mmoja amegundulika, automatically aliegundulika atajua mwenzake kamsell out! ITS NOT ROCKET SCIENCE!! Halafu kuna new updates eti wamejidai kutumia mbinu ya kudiverge….wanajidai kutoa eti ushaidi wa kutumiana message kuombana kufuta hizo post zako Mange!
….yani kwa vile walivopanick ndio wamejivuruga kabisaaa! Wewe Mange una akili kama zangu….ebu kaangalie arrangement ya zile message na how hao watu wanaongea na hizo caption utaelewa wendawazimu wa hawa watu ulivopitiliza! Maana me naona huyu Missy Temeke ana PHD ya Utahira! yaani ni COMPLETE nutcase….ile CompletePackage kama ya Wema Sepetu!
Message za post ya mwanzo…mtu anaomba message zifutwe…message za post ya pili eti yule yule alieomba post zifutwe ndio anasimuliwa sasa eti “mtu aliniomba nitoe ndio nikatoa” SO kama unaongea na yule aliekuomba utoe, WHY then umuadisie why ilibidi utoe?? Dah! Aisee! Me HOI!! Tena huyo “who iz boss” anaandika kabisa caption kusema “maendelezo ya zile message za mwanzo”….lol. Kwa kifupi….Missy Temeke tumeishakujua ni WEWE uko behind hii account na kwa kupanick kwako umetusaidia kutaja na huyo mwenzako! ASANTE SANA! Now tumeishaijua Team KAMILI! Mange…kwanini kwenye huo mkwala wa fb aseme kua akitukanwa yeye kua atatukana huyo mke na familia yake yote? kwani huyo mke ndio ambae atakua amemtukana? IWEJE?? The only way kumtukana ni kwa kufikiria kua amemsell out because THEY BOTH PARTNERED UP kushirikiana na hio account na ndio maana post kweli ziliweza kufutwa within hayo masaa yako matatu…yamem save kichambo temeke lady na also kichambo huyo mke from temeke lady! Lol….
PS: Me ndio yule yule whistleblower wa hio account na for everyone’s info, simjui Missy T na tena naishi Continent tofauti kabisa na alipo huyu mmama!
138 -
Where is Bibi maushungi ka mwanga.wapi becky minjino koleo wapi dorothy kaachonjo kachenje njooni mumsaidie mwenzenu anahadhirika.washenzi wakubwa nyie wote maisha yamewacharaza.becky kama Somo yake miss unshuzi kazibulionayo ni kupita kila sehemu kukopakopa hadi jacque korasa chaumbea mwengine alikupeleka mahakamani.
82 -
Well said! Attaching anyone in FCBK using fakes eg. lakuchumpa, mamamdo..Patricia.. etc is an act of coward and deceiving. Miss T as a married woman deceived even her husband may be by blocking him or he don’t get it or care????… now I don’t get it if her husband is really a man au ndo … Miss T shows how herself and husband live. Don’t be hater of nothing…don’t look for nonsense attention… you are a psychic…looser…lost somewhere
70 -
Jamani sipo upande wowote ila lazima kina source ya haya maugomvi kuanzia kwa Missy t ,Dorothy ,Becky na wengine na kwanini wawachambe kina jack ,tunnu ,amina lazima kuna chanzo kuna anayejua kwa ujumla mmetia aibu USA nzima had Tanzania mmekuwa attention seekers loo big up mange #team mange
70 -
Nashangaaga sn watu wanaposema eti na mange ana ac fake IG au ndo dougmasta, Mange sio mnafki ukimchokonoa anakuchana kweli wala haitaji ac fake wooote humu mashahidi…..
Jamani mastar wa bongo n wanafki sn full kusengenyana, mtu akipata tu siri zako anakufungulia ac fake IG na kumwaga mambo yako yooote,mbaya sn!!! Kama yule aliyefungua ac fake ya “niwakatiwakuambianaukweli”lengo lake kuu lilikua n kumchamba junaither(japokua nae anaupepeta kweli),na huyo mtu alikua mtuwao wa karibu…..
Dunia ya sasa c yakuamini mtu mambo ya ushosti wa kupika na kupakua,yalishapitwa na wakati,ishi ki vyako ka mange.
95 -
Well said! Attaching anyone in FCBK using fakes eg. lakuchumpa, mamamdo..Patricia.. etc is an act of coward and deceiving. Miss T as a married woman deceived even her husband may be by blocking him or he don’t get it or care????… now I don’t get it if her husband is really a man au ndo … Miss T shows how herself and husband live. Don’t be hater of nothing…don’t look for nonsense attention… you are a psychic…looser…lost somewhere
20 -
Huyu dada nnamfollow insta na ni friend wangu Facebook for years, nnavyomuonaga kama mtu flani anaejiheshimu lkn toka amtukane Tunu nimemshusha thamani ghafla
Na nimemuunfolow insta amen I disappoint sana sana
Kweli umdhaniae ndiye kumbe sie
Na tatizo la unafiki nje ya nchi kwa sisi watz nnaona limekua janga la taifa, no one to trust
70 -
hahahhahhaa LIDYA umenichekesha balaa, so ukaclick link kupata habari
pole mwaya, umbea ni kipaji wachache tumejaliwa Lmao!
70 -
Achana na hizi takataka Mange urafiki ulikuwa enzi za mabibi zetu. Marafiki wa siku hizi full unafiki kama si kutaka kukuchukulia mume basi kukuchunguza unaishi vipi kisha wawapelekee maadui zako wakakucheke. Kuna dada mmoja pande za Ulaya mke wa muzungu hataki kusikia kitu urafiki, yuko kivyake vyake na mambo yake yako super, anahudhuria sherehe zilizoandaliwa na Ubalozi wa TZ uliopo nchi anayoishi tu, sijui miparty ya wabongo NO huko haendagi. Ukijiepusha na watanzania nje ya nchi I tell you Mange utafanikiwa na kufikia malengo yako, ila kama unataka kuharibikiwa na uwe na stress za maisha kama zao basi ji-associate nao.
160 -
Subhana Laaah daaah najuta kwenda kusoma huko Fb jamani huyu dada hata St 5 amefika kweli maskini nimemuonea huruma huyo dada mume wake aaliye tagiwa ila watu kama hawa dawa yao ndogo Walahi yaani ukikutana nae unampa makofi ya usoni mpka akili inamkaa sawa. Mimi jamani sibahatigi kupata haya maswahiba Walahi sijui coz sijuchanganyi kivileee busy na over time walah mpka ck nikutane na wabongo labda kwenye misiba na mtu anayenihusu saaana basi otherwise gooo hawanionagi….huyu anafaa kuwa shoga na Andunje ndiyo wanaenda
101 -
Huyu mwanammke asiwadanganye na show off za mitandaoni anaishi miserable life, juzi juzi kafumaniwa na dreva tax kitandani muwest, mume kamshushia kipigo kakimbilia mahakamani, kwa hasira mume wake kaenda kumpagishi nyumba mwanamke huko Ohio, na hapo DC anamtoto mbichiii mtanzania, mtoto wa kiislam ushungi juu, then anakaa nakenua meno eti ukimwi yeye akae tu atulie ausubiri huo anaoutafuta kwa madreva tax wa kiwest na mume anaoleta ndani akichanganya hapo plus stress itakua ni zawadi tosha
101 -
Mange Miss T hajawahi kukupenda hata siku moja. ..Mwenzio alikuwa anatafuta umaarufu kupitia comments zako watu wakiona ume comment si huwa wanataka kujua ni nani huyo kacommentiwa na Muke ya Muzungu. ..
73 -
Malaya Mkubwa huyu Miss T mbona hasemi Maradhi yake? ?? Si Alilala na yule Mcongo bongo wakati anataka kushindana na wenzio Faces ?? Kana roho Mbaya sana hadi kamekuwa kachawi. .Watoto wetu hawalali DC usiku kucha wanalia na kumtaja Miss T . Nakusema wame muona na Halloween Costume in their room. SHWAINI MKUBWA HUYU…
181 -
Analaaana ya babu yake aliyemuuwa kwa presha Kisha babu yake alionja chips Kavu za Missy T.
111 -
Alafu ni kweli kabisaaa,WHO_IZ_THE_BOSS ni huyo Miss T m namfollow kitambo.alivyouchambuaga ugomvi wake na tsepetu na mitusi hatariii mwenyewe aliutoaga kwa parts kuanzia part one hadi five.raiti kama angekua c yy acngetiririka kiasi kile…
Na anavyomchambuaga wema kuanzia utosini hadi unyayo hutazani mwenyewe kakamilika,……muogopeni Mungu jamani wewe bibibomba umeumbuliwa mchana kweupeee
73 -
Mange mpenzi update comment please tunajua comment zipo zaodi ya million kwa jinsi huyu miss ushunzi anavyochukiwa.
94 -
Yaani ww ni miss t aka who is the boss unatafuta wa kufa nae, hujatosheka tu ulivyowadhalilisha hao wamama na roho yako mbaya kaa mkaanga sumu bado unataka uwa drag kwenye uchawi wako, mtu gani unaroho mbaya hivyo unafungua acc fake unaanza kutukana watu. Ona Mungu alivyokuumbua siku zoote unavaa innocent face kumbe unawauma watu visogo, kwa hayo matusi uliyoyatoa kwa kina tunu fc nina hakika 100% unamiliki ww hizo acc za kutukana watu ila za mwizi ni arobaini shetani kakuchoka nae ndo alikutuma uwatukane hao wanawake ili watu wakujue ulivyo mwanga. Umelikoroga bibi tulia ilinywe usijitie ooooh acc ya watu wawili koma kabisa tulia ujikaange na mafuta yako mwenye.
21 -
miss temeke ulipokuja texas kwenye royal wedding akagawa uroda baada ya hapo alipima au anajishaua tu
42 -
wee marichui acha unafiki mbona mange naye kapewa familia nzuri lakini naye ana account fake ya kutukania watu mitandaoni? anamtukana zari kila siku hamuoni mnamuona miss temeke wanafi mazombie nyie halafu wee ji i kisirani ibane hii manake hupendi ukweli.
na wewe ile account fake uliyonayo ni ya kazi gani? wee ni mnafiki tuu kama miss temeke. sema wewe una blog ya kuumbulia wenzio siku yako na wewe ipo tuu ka a ya huyo miss temeke mfyuuuu….
512 -
Hivi kwanini mnaendelea kumuita Miss Temeke huyu Miss Gerezani? Kwanza thubutu hawezi kuwa wa Temeke huyu angekuwa anatoka Temeke angekuwa keshapona ugonjwa wa umbea kwa kusutwa kila siku, Temeke ndio walianzaga kusuta kwa matarumbeta.
Haya Mrs DC kazi hiyo unayo fungua fake account nyingine utukane watu. Hivi watu huwa hawajifunzi jamani? Mara hii mmeshasau Viola alivyojirestisha in pisi? Hamkuona wale kina Vio walivyoletwa humu wao na waume zao mpaka na michepuko yao? Au mmechoka kuishi kimya kimya kila siku mwatafuta drama
51 -
Hivi huko insta hamna habari za maana zaidi ya account fake kumtukana Mange, Zari, Wema, Diamond vingine ni vidagaa tuu ila kila account fake hawa watu lazima wawepo. Wabongo kwa roho mbaya za kwa nini ndo mnajikuta hamtulii majumbani kwenu maisha ya,wenzenu yanawapa pressure.
.
Miss temeke umejiaibisha mnoooo, kwa unafiki na uroho mbaya wako, wewe na wenzio sura zimewapauka si mrudi tu bongo mkalime maharage kuliko kulazimishia hayo maisha fake, mkiwaona wenzenu maisha yako kwenye mstari.mnabaki kuwatukana hovyo
41 -
Muke ya Muzungu umeuwaaaa.. Missy T anakuiga kila kitu hadi kuuza nguo sorry Matambara lol hajui wewe ni msomi eeeeeeeh … wewe ni mwisho ila Kasema hakuogopi ndio maana kakutukana. …mange na wewe nae ujiulize mbona ma model wenzie Hawa comments kwenye mizuka picha zake..
42 -
Sasa Mange kama katoa, kwanini umemleta tena huku. To me it shows you didn’t hold your end of the bargain. Na huyu miss temeke, kajishuku mapema na huyo dada mwingine, labda walitoka kusutana fresh fresh.
61 -
Kaweka account private sasa hivi…lol…..
mfyuuuu….. Anashindwa hata kuchamba kama kawaida yake… aibuuuuu……..KHA!!!
Na weye ulieng’ang’ana mie ndo dougiemasta. Yani niweze kuwasema viongozi wa nchi wazi wazi then nikafungue fake profile ya kusema kajamba nani? kha!! yani ambao wanaoweza kunifix nisiwaogope then ambao hawawezi kunifanya lolote lile ndo wanifanya nikafungue account fake…ni akili hiyo?
333 -
wee adah ka hujui kitu piga kimya mange mwenyewe aliandika humu kuwa ana account fake amabya aliitumia kumpa pole yule mdada aliefiwa na mtoto juzi kati .. kujidai unajua kutetea ujinga ndo mana mie huwa nawaita mazombie manake mnamuabudu mange kama vile yuko perfect.
mnamponda miss t kwa account feki wakati mange naye ni walewale kwa nini ana miliki account feki? anaogopa asionekane mnafiki si ndio eeh? ukute anatukana hadi yule mwamy wake anayemuogopa kama ukoma ? kafungua feki account ili amtukane zari na hutomshusha hata iweje golikipa mwenye masters majuu ngachoka!
414 -
Anonymous
MAY 20, 2015 AT 8:02 PM
REPLY
wee adah ka hujui kitu piga kimya mange mwenyewe aliandika humu kuwa ana account fake amabya aliitumia kumpa pole yule mdada aliefiwa na mtoto juzi kati .. kujidai unajua kutetea ujinga ndo mana mie huwa nawaita mazombie manake mnamuabudu mange kama vile yuko perfect.
mnamponda miss t kwa account feki wakati mange naye ni walewale kwa nini ana miliki account feki? anaogopa asionekane mnafiki si ndio eeh? ukute anatukana hadi yule mwamy wake anayemuogopa kama ukoma ? kafungua feki account ili amtukane zari na hutomshusha hata iweje golikipa mwenye masters majuu ngachoka!
Unikome , nilisema nna account feki ila sio ya kutukana mtu na naweza hata kukutajia hiyo account ucheki kama ishawahi tukana mtoto wa mtu. Ni account nimefungua kwa kufollow maumbea na watu ambao sitaki wajue nawafollow na kila mtu anayo account kama hiyo ni vile tu mie nimekubali ninayo wengine madada decent wataapa hata kwa misaafu hawana account feki za kumfollow Mange na huku anajua kila kitu anachoposti Mange in 2 mins….hahahhahaha sasa sijui anaingiaje….
367 -
ubuyu hauna sukari kabisa Mange ila nashukuru maana kuliko kukosa chakumumunya walau hki kimesaidia kamdomo kangu kuwa kekundu
20 -
Mange kifupi niseme ngachoka maana mimi najuwa anakupendaga sasa sina lakusema nimechukia sana najuwa anawivu sana na mnafki but sikujuwa hata wewe hawa ndiyo mashoga wa DC unakuta na nao kwenye shughuli basiii kaniuzije? ?katuabisha sana
00 -
Wanawake dizaini ya huyu ex miss tmk ndo walonifanya nijitenge kabisa na wabongo wa majuu. Siwapendi kupita maelezo. Nikiwa katika pitapita zangu nikakutana nao nakereka wiki nzima. Unakutana na jitu linaanza kukuomba namba ya simu na kutaka kujua unapokaa na picha Pia linafosi likupige. Ka si uchawi.com ni nini sasa. Tafadhali mlioko majuu kila mtu ashike time yake. Coz mwisho wa yote ndo kudatishana ka hao Kina miss temeke na wapinzani wake. Who wants dat shit , huh?? Lets all mind our own business. huna kazi utajiju nenda hata shule ukasome basi khee! Kuna anaejua chanzo cha ugomvi wao? Coz hawezi tu kukurupuka ka mwizi wa mihogo na kuanza kutukana ka mwehu pasi sababu maalum. Dis shit must end right now..alaa!!
31 -
Mange unavyochamba lazima mtu akuogope.
Mange hivi whatsapp yako inayoishia na 3696 InaFanya kazi? Nimekutext sijapata response, nimekutumia email ulitaka nikutajie size nimeshakutumia kwenye email yako check your mail.
40 -
Mange na wewe hivi ulikuwa humjui Miss T au ndio alikuong’opea alikuwa Top Model na baba Bhoke hahaaaaaaa. .muong’o Mkubwaa yule alikuwa msindikizaji tu faces…lol
60 -
Chanzo cha ugomvi ni harusi ya Salome ambayo hakualikwa. Maneno yalikuwa yanamtoka kuwasema wenzie Kila sehemu. Bi harusi alifanya harusi halafu bila michango. Miss temeke alijaribu kufanya fitna wadada wa watu wagombane. Wakamgundua, wakampiga chini, Kila akipiga cm ajieleze wanamchuniaa. Bidada akamind, akaanza fitna na shoga wa Amina(Dorothy kachenje) mnafiki huyu dada mwisho, hili bomboso nalo likaingia kichwa kichwa ushoga na miss temeke. Ndio waakanza kuwachamba wenzao. Wadada wako very strong and classy, wakampa kisogo. Kila akichamba wadada Kimya, Hawa wadada watu wamewaheshimu. Tatizo miss temeke Shule hamna, lkn kwa uongo huyu Ndio kinara. Dada anajua kuchonganisha, anajua changanya maneno. Watu wa DC wasingekuwa makini wangekuwa wanapigana Kila siku. Ukiwa na hela kidogo ujue wewe ni adui wa miss temeke. Halafu viongozi wa serikali wote wanaokuja lazima wamkaze, yeye mwenyewe inabidi akapime, Habari za chini chini zinasema Yule muheshimiwa Fulani aliyekuwa anampa hela ya mawig Yuko hoi kitandani . Sasa Sijui anachekaje wenzake, Wakati yeye Hali yake mzozo.
151 -
Mange kimambi subiri kulogwa mwezi huu huyo Missy T anatufanya hatulali hapa DC shauri yako Muke b ya Muzungu.
13 -
Miss temeke kuwachamba watoto wa watu kisa wamekuzidi tu kimaisha, umeona ulivyo adhirika kweupe. Matusi ukisoma ni wivu A to Z, harusi, Nyumba , plastick surgery, HIV .Umejitia Aibu, bora hata uliyoandika yangekuwa ya kweli. Hao kina Dorothy kachenje wambeya wenzio, Becky cartias mnafiki mwenzio, Na Bibi mMbeya DC kuliko wote Jackie korrasa, wako wapi? Umebaki uchi peke yako. Melissa kabaki anakucheka mmeanza kutoleana Siri. Na bado, mange mungu akupe Maisha marefu yenye Akili tele. Uliweza kumgundua huyu Malaya from the get go. Tutakupenda daima wana DC. Miss temeke kaweza wachanganya watu kibao hapa DC na uongo wake, nasikia kabla ya kupigia watu cm, anakunywa miti shamba yake ya dawa za mavuzi, ila wewe umemgundua Mchana kweupe. Kusoma ni muhimu Sana. Na hili Liwe fundisho kwa wote wenye wivu wa maendeleo. Mjifunze kutokana na hili somo alopata huyu malaya.
91 -
Kwanza huyo miss t Hana mAkAratasi mange muulizeni miss tekenyo Mara ya mwisho kuwa Tz ni Lini alafu huyu thin unhealthy bitch Hana karatasi alipokuja alikimbilia kuomba mAkAratasi ya ukimbizi akatoswa ikabidi akugawie uchi mbongo Mmoja mwishowe akavulishwa chupi na karatasi akakosa haya akakurupuka kuolewa akijua atapAtA karatasi kitu ikAdunda akaishia kuzaa muulizeni y Hana kazi jibu ni kwa kuwa Hana karatasi kiruuuuuu eti anajiita mrs matope kisa mumewe ako na nyumba ya kulelea matahira 5 tuuuuu basi anAona kApata mfyuiuuu nyoko Zako missy temeke in mama wema voice na wewe mange tuletee ubuyu mzuri
61 -
Wanawake! Wanawake! Wanawake! Tena kina mama! Jamani wakina MAMA! Aibu! Aibu saaaaana! Mama zetu ulikuwa huoni wakisutana sijui kuumbuana! Mbaya zaidi upuuzi wa mitandao hautoki, hata watoto wakikua watayaona haya! What a shame!!
30 -
Aaah ngachoka mie, ivi huyu miss ushuzi ana wazazi kweli, ukamdhalilishe mama wa mwenzio vile bila uoga!! Hiyo laana utaibebea wapi na kizazi chako ama kweli ukishangaa ya mbuta….! Mbona nimemshusha thamani huyu mwanamke, kweli kabisa Mange wala hujakosea kwa matusi ya fb naamini kabisa huyo ndo anamiliki hiyo acc inayokutukana kila siku, na ni mpumbavu abu ona anavyohaha kuunga unga tu sms ili ajikoshe. Unalaana we miss ushuzi na mwisho wa ubaya aibu, 40 yako imetimia sasa ndo utajua Mungu si athumani. Mmmfyuuuuuuu




