Tuesday, May 12, 2015


Picha ya mastaa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel na Kajala Masanja wakiwa wamekumbatian kwenye sherehe ya Aunt Ezekiel ‘Baby Shower Party’ikiwa nikumpa zawadi mzazi mtarajiwa iliyofanyika usiku wa jana yazua minong’ono ya hapa na pale
miongoni mwa walioandika komenti kwenye picha hiyo iliwekwa mtandaoni kuhusiana na mahusiano ya sasa ya kati ya Aunt na Wema Sepetu. Aunt Ezekiel na Wema Sepetu nimarafiki wa karibu 

0 comments:

Post a Comment