Snura Mushi A.K.A mama majanga moja ya sifa zake akiwa jukwaani ni ukataji wa viuno wa hali ya juu.Kiuno ni moja ya silaha na nyenzo yakuwavuta mashabiki na kupigiwa shagwe la hatari.Majuzi alitoa nyimbo na Nay wa Mitego hawashi.Likiwa ni dongo kwa Shishi mama Nuh Mziwanda ni pilipili hoho hawashi kama pilipili mbuzi.
Shilole kiuno chake ni malele original akina majanga anauwezo wa pekee wakuwavuta mashabiki wa mshangilie kwa kutumia kiuno chake.Ingawa haijawahi tokea le mutindizzz hao kukutanishwa pamoja kushindanishwa maujuzi hayo ya viuno.
Wakali hao wote wametokea upande wa Bongo movies nakupata mafanikio makubwa kwenye mziki.Hawajawahi kuonekana kua na ukaribu wowote wakidhihirisha kutokubaliana kwenye sanaa.
Wakali hao wamauno stegini wanawapenzi serengeti boy Nuh Mziwanda kashamvesha pete Shilole na Dj Hunter wa club Maisha Morogoro amezaa na Snura mtoto mmoja.





0 comments:
Post a Comment