Wednesday, May 6, 2015

Bob Juniour 2
Bob Junior ni msanii wa bongofleva na pia producer wa kwanza ambaye ndio alirekodi Album ya kwanza ya Diamond Platnumz enzi hizo ikiongozwa na hits kama Kamwambiena Mbagala, baadae waligombana na kukaa bila kuzungumza kwa miaka.Lakini Diamond alitaka amani na akataka suluhu na Bob, japo ilifanikiwa wakakutana mpango wa Diamond haukufanikiwa…. ishu ikaendelea mpaka juzi Bob Junior alipotokea kwenye Zari All White Party ndio maswali yakaanza kuulizwa, imekuaje Bob ambaye hapatani na Diamond kahudhuria? majibu yote anayo kwenye hizi dakika 4 hapa chini

0 comments:

Post a Comment