Naomba
mimi kama Wema Sepetu, nitoe tamko langu rasmi kuhusu hii Sheria mpya
iliyopitishwa bungeni. Naongelea Sheria ya cybercrime au cyberbulling.
Ukweli ni Kwamba watanzania tunatumia vibaya mitandao ya kijamii.
Matusi yamekuwa ni mengi na sometimes hawavumiliki. Kwa kweli
kunahitahija Kuwa na laws in place Za kupunguza unyanyasaji kupititia
mitandao ya kijamii. That said, yes nai support hii bill ya cyber crime
to an extend. Kama jinsi ambavyo watanzania tunatumia vibaya mitandao
kwa kuumizana kwa njia ya matusi na kuchafuana, wana siasa wetu
waliopitisha hii Sheria ya cybercrime pia wameitumia vibaya hii Sheria
na kuitumia kama silaha ya kumfunga mdomo mtanzania
0 comments:
Post a Comment