Ni
Siku moja tu imepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja
kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa
kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo
wa upendo ambao ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na
matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya
kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na ndipo hapo alipoamsha hisia za mashabiki ambao wameanza kumuomba Wema Sepetu kumsamehe Kajala ili waweze kumaliza tofauti zao ambazo wanazo sasa.

0 comments:
Post a Comment