Wolper kupitia kampuni ya Delta Africa leo saa saba mchana washindi walioshinda shindano la kumtambua picha yake iliyofichwa sura aliwaahidi angewapa zawadi zao za simu aina ya alcatel.Baada yake ameadilisha muda akidai amepata dharula na kupanga muda tofauti wakutane mlimani city.Wasanii wengi wamekua wakikosa dili za makampuni kutokana na kutojali muda na kuamua mambo kiswahili.
Sunday, May 31, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment