Super star wa filamu nchini Ghana Yvonne Nelson ameingia katika aibu kubwa baada ya kampuni ya umeme ECG eletronics ya nchini huyo kugundua kipupwe chake kimeonganishwa moja kwa moja na umeme bila matumizi ya umeme huo kupimwa,Kampuni hiyo imeingia hasara kubwa kutokana na wananchi wengi kufanya mchezo huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment