Kumbe!
Machoni pa wengi maswali yaliibuka miongoni mwa mashabiki wa mwandani
wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘The Boss
Lady’ baada ya kumuona akiwa ‘klozi’ na Bosi wa Bongo Stars Search
(BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ kwenye shoo ya Zari All White Party
iliyofanyika juzikati kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar.
Tuesday, May 12, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment