Sunday, June 28, 2015

Kile kichupa kilicho kuwa kikisubiriwa kwa muda mrefu toka kwa Ali Kiba mfalme mwenye kiti kilichokosa mfutaji vumbi na kukikalia jumatatu anazindua video
hiyo kupitia chanel ya trace na nyinginezo nchini.Huu ni mwanzo wa kujibu mashambulizi ya video kali kwenye gemu la muziki kwa sasa.

0 comments:

Post a Comment