Machafuko katika mitandao ya kijamii yanatabiliwa kutokea endapo Ali Kiba atachukua tunzo usiku wa leo kwenye Kili Music Award.Majaji wa shindano hilo zaidi ya watatu wanamapenzi na Alikiba.Masoud Masoud mtangazaji wa TBC taifa redio aliojiwa kwenye kipindi cha mkasi na kuonesha mapenzi ya wazi kwa Ali Kiba na Dj Nelly huyu ni dj wa shoo za msanii huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment