Staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto aitwaye ‘Cookie’ amesema kama kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa na Moses Iyobo ajitokeze la sivyo hawezi kumuacha.
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Aunt alisema alipokuwa mjamzito amekuwa akipewa vitisho vingi ikiwa ni pamoja na mwanamke kudai ameporwa mumewe huyo.BONYEZA KUSOMA YOTE
0 comments:
Post a Comment