Monday, June 8, 2015


Wanaomuunga mkono Mh. Edward Lowasa katika safari ya matumaini walipata kunena haya katika kumbukumbu:-

1. Mh. Andrew Chenge:
"Dola milioni moja ni vijisenti tu..."

2. Prof. Juma Kapuya: "Mnalalamika nimekuja Tabora na helicopter ya jeshi, sasa nyinyi mlitaka nipande punda...?"

3. Prof. Tibaijuka:
"Milioni kumi nilitumia kununua mboga tu..."

4. Ndg.Hussein Bashe:
"Natamani CCM ishindwe uchaguzi jimbo la Igunga ili tuheshimiane..."

5 . Mh.Beatrice Shelukindo: "Hakuna mwanaume kama Lowasa..."

0 comments:

Post a Comment