
"NIMEELEZA
KUWA HIYO NGUO HAIKUSTAHILI KUKAA HIVYO- BAADA YA KUKAA KAMBA
ZILIACHANA - NIMEOMBA RADHI PIA NIMEOMBA PICHA IFUTWE NA BAADHI YABLOG
NA HUKO IG ZIMEFUTWA..... SASA UNAPO NI TAG AU KUWEKA PICHA NA KUOMBA
WATU WATOE MTAZAMO NI KAMA UNA ENJOY KUONA NATUKANWA..... KIUFUPI
SIKUPENDA KUONA MATAKO YANGU KWENYE MITANDAO - NIMESEMA HAIKUA LENGO -
LKN NAONA MMESHANIJAJI NA KUNIHUKUMU- SAWA HAKUNA AMBACHO SIJASIKIA WALA
KUONA LKN UWE RAFIKI AU SIO UKINITAG NITA KU UNFRIEND - UKITUKANA PIA
NTAFANYA HIVYO.... WANAO NIELEWA ASANTENI NA WASIO NIELEWA NI SAWA PIA
SIO LZM WOTE MUELEWE."
- Faiza Ally, Godfrey Mnzava, LizAna Kafwa and 60 others like this.
- Kayson Ngessa nimekuxoma Faiza Ally
- Faiza Ally Asante Kayson Ngessa
- Abbynim Al-kindy Usijal dada hakuna asie na kasoro wala hakuna asie kosea ktk dunia hii.. pamoja san.
- Abdl Yssph Pamoja sister Faiza Ally one lov
- Goodluck Bayagah Jr. Pole mom ake sasha...tatizo ck zote akili za wanadamu azilingani daima kunawengine awana akili ya ufahamu.
- Mzee Muhando Masterm Yameisha hayo binti yasikuumize kichwa uungwana ni kuomba radhi na ushaomba kilichobaki songa mbele mwanangu yaliyopita si ndwele tugange yajayo
- Wilson Peter Mtino Pole dada,things happen,hata mimi sikuamin ndio fasheni yenyewe,cha kujifunza hapa jamani,we shouldn't jump into conclusion,its fatal,stay blessed buddy.
- Charles Ngomale Bahati mbaya Dada tumekuelewa
- Aphia Mohd Faiza Ally one luv my dia ni watu wachache tu na wapuunziii
- Natty Mnaro Pole mwaya... watasahau tu hawa wslimwengu.. mbona ya pempaers wameyasahau nw
- Jafrani Jafary Ngonyani Hakuna aliyekamilika chini ya jua,songa mbele my dear Faiza Ally
- Mcrose Mbaga Hahahaha Faiza Bwana Yamepita Tumeongea Yameisha Wangekujadil Sangapi Bwana Acha Wakuinue Mtoto
- Zaina Larsson Usiwajali ndugu yangu asiekupenda ndie anasikia
.kaa kimya cha ajabu ni nini - Hussein Mushi Faiza Ally wanoongea ni nyoka wa plastic hawana makali wasikushuulishe
- Gloria Underson Pole my dear
- Fatma Njowele Usijari tumekuelewa
- Missy Mapoz Ucjali bwana Faiza Ally pole
- Mwinyi Kombo Ok. Nasisi tumekusamehe ni vile umeomba msamaha lkn mimi bnafsi kabla ya kutuomba msamaha nilikua nakutafutia adhabu ya kukupa nikawa nafikilia kukutoa miongoni mwa marafiki zng but Poa nimekusamehe @ Faiza Ally
- Salama Omary Ucjali
- Monica Mushi Kosa kurudia kosa, be happy bt tuzingatie maadili yetu,
- Sasha Abrahman Ishi utakavyo sio watakavyo,,
- Mwamedi Semboja Nimekuelewa. Hakuna noma
- Zubeidah Dullah Saad Hamna binadam uliyemkosea wala cioni reason y udhalikike na bnadam...anaefa kuombwa msamaha ni ALLAH na haish kusemehe kila dakka..kila wakat
- Maria Makwinya Makwinya Wasiokuelewa mpaka shume kwani kuchanikiwa nguo ukweni ni ujinga au?
- Silas Jonathan umesomeka ila siku nyingine uwe makini
- Vincent Uhega Changamoto Faiza Ally zipo ukweli utakuweka huru
- Robert Kigelulye Pole mama ila mungu kaumba msamaha kwa makusudi wasiokuelewa achana nao mana kaumba pia kusahau apo ndo kiboko yao mana lazima watasahau kama hawaelewi!!
































0 comments:
Post a Comment