Hii ni baada ya kuweka ujumbe wanawake tunaweza.Akiwa mbioni kutangaza nia na eneo atakalo liongoza tukae mkao wa kula mambo ya wasanii na ubunge yashaiva.Wasanii waliojitosa kwenye
kuwania firsa ya uongozi ni Kala Pina jimbo kinondoni,Afande Sele Morogoro,Wema Sepetu Singida,Khalid Chokoraa Bagamoyo udiwani na Professa J Mikumi.Ni muda wa kukamata fursa twenzetu.

0 comments:
Post a Comment