Belle 9 msanii toka mji kasoro bahari toka mwaka 2012 amekua akipigwa chini show za Fiesta zinazoandaliwa na kituo cha redio cha Clouds fm.Miaka minne sasa amekua akipotezewa shoo hizo nakumfanya kupata show chache kwenye tasnia ya muziki.Sababu za kutoswa huko hadi show za mkoani kwake ni baada ya kuonesha dharau kwa wadau walioshikilia mziki huoo.Upungufu huo wa show umemfanya kiafya kukonda.Ingawa bado anatoa nyimbo kali kama vitamin music na shauri zao lakini bado hapewi nafasi kama zamani.
Tuesday, June 2, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment