Bernard Paul baada ya jana kuokolewa baharini alipokuwa safarini kuelekea kisiwa cha Mbudya,Injini ya boti iliingia maji na kufanya izimike baada ya saa moja ikatokea boti ya wavuvi na kuwaokoa.Leo amefunguka na kusema manahodha wa boti hiyo watatu waliruka na kukimbia wakiwaacha wanaume watatu,wanawake watatu na watoto watatu bila huruma.Ingawa waliokolewa lakini mtu mmoja hajaonekana na hajulikani alipo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment