Friday, June 26, 2015

Katibu wa CCM Taifa Uenezi na Itikadi Mh. Nape Nnauye akiagana na Wafanyakazi wafanyakazi na Viongozi wa wa Uhuru Publication Limited baada ya mazungumzo ya muafaka wa kuendelea na kazi baada ya mgogoro uliokuwa unalitafuna gazeti hilo kwa muda sasa.

Mh. Nape akiagana na Kaimu Mhariri wa Uhuru Bw. Ramadhani Mkomwa baada kumalizika kwa mazungumzo yalipelekea kuendelea na kazi kwa wafanyakazi wa gazeti hilo.

Wafanyakazi na Viongozi wa gazeti hilo la Uhuru wakiwa na furaha kubwa baada ya Mh. Nape kuumaliza mgogoro wao Makao Makuu madogo ya CCM Taifa Lumumba.


0 comments:

Post a Comment