Tuesday, June 2, 2015

Jinsi hali ilivyo katika maeneo kati ya Buguruni na Tazara mara baada ya Lori la mafuta kugonga Treni la mizigo na kuburuza nje ya Reli....hivyo njia imezibwa hakuna mawasiliano kati ya magari yatokayo Temeke kuja Buguruni wala kutoka Ubungo kuelekea Temeke au Buguruni kwa kupitia Mandela Road jioni hii

0 comments:

Post a Comment