Rais Jakaya Kikwete ameongoza kikao hicho leo jijini Dar es salaam.Haijafahamika kiundani lengo kuu la kikao hicho,Macho na matazamio ya wengi juu ya vikao hivyo vitakavyo endelea hivi karibuni, kujua mh Edward Lowasa atakatwa jina lake au atapita na kuwa mgombea wa urais.Mgombea huyo kuwa gumzo ni juu ya kashfa mbalimbali anazosadikika kuhusika na mapokezi makubwa ya watanzania anayopata mikoani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment