Rihhana mpenzi wa zamani wa Criss Brown akiwa hollywood nightclub na mpenzi wake mpya Karim Benzima mchezaji wa Real Madrid amekutana uso kwa uso na Criss Brown.Hii ni mara ya pili kwa mkali huyo wa miziki laini kukutwa na majanga hayo baada ya siku kadhaa kukutana club na mpenzi wake wa zamani Karuche akiwa na njemba nyingine
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment