Posted by Williammalecela.com on Sunday, June 28, 2015

Yule
msanii maarufu kutoka nchini Nigeria Davido amezindua rasmi mavazi
yake. Mavazi hayo yana nembo ya neno Obo, Mavazi hayo ni pamoja na Kofia
na tshirt, O.B.O ndio nembo itakayokuwa inamtambulisha Davido katika
biashara ya Pamba zake, hapa chini nimekuwekea picha za mavazi hayo.
0 comments:
Post a Comment