Friday, June 12, 2015

Diamond Platnum aliyetumbuiza jana nchini South Africa kwenye kutajwa washiriki wa kinyang'anyiro cha tuzo za MTV Africa Music Award,Ametajwa kuwania vipengele vitatu.Msanii bora wa kiume,Mtumbuizaji bora na nyimbo bora ya kushirikiana Bum bum na Iyanya.Vanessa Mdee ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa kike Africa.

0 comments:

Post a Comment