Billnas anayesadikiwa kudate na Diva
Darcityceter tuliamua kumtafuta Billnas kutaka kuthibitisha kama wapo katika mahusiano ,coz mara kadha wanaonekana wakiwa pamoja na ukaribu wa hali ya juu .
”Sio kweli Diva ana mpenzi wake na mimi nina mpenzi wangu.Ila sisi ni washikaji sana na sio zaidi ya hapo ,ndio ushikaji na sio zadii ya hapo ”. Billnass
0 comments:
Post a Comment