Saturday, June 13, 2015

Adolf Mawazo A.K.A Dj Mafuvu Baby mwenye uwezo wa kipekee wakufanya misuguo ya hatari.Kabla ya kupenya kwenye tasnia hiyo amepitia changamoto mbalimbali.Ameshawahi kuwa kinyozi mitaa ya Mtoni kwa Aziz Ali ambako amekulia na sasa anamiliki saluni ya kiume Mafuvu berbershop.Histori ya maisha lazima iwe na mzunguko ilikukamilisha ndoto zako.


0 comments:

Post a Comment