Dr.Slaa-Tibaijuka hahusiki na wizi wa Escrow,May 26 akiwa Muleba alisema. .
'Profesa Tibaijuka ni mtu muhimu kwa taifa hili; msomi, mpenda maendeleo na usawa wa kijinsia, muadilifu na mchapakazi.
Watu wanajua kwamba Profesa Tibaijuka amefanya kazi kubwa kwenye nyanja ya elimu, hasa elimu ya wasichana hivyo kupewa fedha kwa madhumuni ya elimu siyo ufisadi. Alisema mama huyo alitolewa kafara na kusingiziwa mambo ambayo hakuwa na mamlaka nayo kama Waziri wa Ardhi'. 'Dkt. Slaa alisema, “kuna watu walimwingiza katika siasa za majitaka.”
chanzo taifa imara


0 comments:
Post a Comment