Saturday, June 13, 2015

Bernard Membe: Bilioni zaidi ya 200 umehusika kupata isivyo halali katika mradi wa Vitambulisho vya Taifa, sasa unazitumia kununua Urais

January Makamba: - Kila siku wananchi wanaibiwa mabilioni katika mauzo ya data pekee (8MB). Hili lilifikia wapi? Telecoms zimekuwa miungu.

Ngeleja: Watanzania hawana kumbukumbu ya nzi kusahau ubadhirifu wa mabilioni chini ya uongozi wake kama Waziri - Nishati na Madini.

Lowassa: Tumemtaja katika Orodha ya Mafisadi waliofikisha nchi hii katika hali mbaya kabisa, kilele kikiwa sakata la Richmond.

Umekuwa kiongozi ndani ya Chama & Serikali iliyopo, leo unajinadi kwamba utaifufua Tanzania, unamaanisha uko ndani ya Chama na Serikali mfu?

Katika nchi tajiri yenye rasilimali lukuki kama , wananchi hawahitaji MATUMAINI juu ya mustakabali wa nchi yao, wanahitaji UHAKIKA.

0 comments:

Post a Comment