Wednesday, June 17, 2015

Wake za watu wanaofahamika kama mama Sabra mwenye kigauni kifupi cha draftidrafti, mama Jenifa mwenye kimini cha njano na mama Athuman wakijitoa ufahamu mbele ya mahrusi.
Mama Sabra mwenye kigauni kifupi cha draftidrafti, mama Jenifa wakimwaga radhi ukumbini.
Mama Sabra akijiachia kwa raha zake bila kujali matokeo.
Mama Sabra akizidi kumwaga radhi bila uoga. Huku wakipeana nafasi na mara nyingine 

0 comments:

Post a Comment