Thursday, June 18, 2015

Waziri mstaafu Edward Lowasa leo amekula nyama ya kuchoma akiwa eneo la Mombo,Korogwe Tanga akijipongeza kwa mapokezi na udhamini mnono wa wananchi wanao muhitaji awe rais.Safari ya matumaini lazima watanzania tujipooze na nyama choma. 

0 comments:

Post a Comment