Staa wa nyimbo za injili hapa Taznania maarufu kwa jina la Flora Mbasha
ambaye siku za hivi karibuni alichafua kurasa za mbele za magazeti
kufuatia mgogoro wake na mumewe, Emanuel Mbasha ambaye aliangukiwa na
tuhuma ya ubakaji, this is an exclusive issue kutoka kwa msanii huyo
ambeye kwa sasa yupo nyumbani kwao Mwanza.
Akibonga na mwandishi wetu Flora alifunguka haya kuhusiana na hatua
waliyo fikia yeye na mumewe hususani katika sakata la mgogoro wao.
“Namshukuru Mungu maana pamoja na kupitia katika kipindi kigumu lakini
still bado ananipigania kila siku mashabiki wangu walizidi kunisapoti
katika kipindi kigumu cha maisha nilicho kuwanacho.
Pia matatizo hayo hayakunifanya mimi kushindwa kumtumikia Mungu kwa
kuimba muziki wa injili kwani najua yeye ndiye aliyenipa hiki kipaji na
si mwanadamu, na uonapo mti unapigwa mawe sana jua kuwa ndiyo wenye
matund amazuri.
Shaka zulu!
ReplyDelete