Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa Florah Mvungi msanii wa filamu,Mme wake H Baba amemzawadia simu aina ya iphone 6 ikiwa ni ishara ya upendo kwa mke wake huyo.Wasanii hao wamekua wakoneshana mapenzi ya hali ya juu na kuungana mkono kwenye kazi zao za kisanaa.Pamoja na vituko vyao kuandaa tuzo za familia na kupeana wenyewe,wamefanikiwa kupata watoto wawili.H Baba kabla ya kumuoa mrembo huyo alikua akitoka kimapenzi na msanii Irene Uwoya.
Saturday, June 6, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment