Tuesday, June 9, 2015



Kusoma hotuba ni rahisi... Maswali ya papo kwa papo ni mtihani! Lazima uwe Hussein Bolt

Hii ni baada ya mdahalo wa leo watangazania kutohudhuria pale Kempisk hotel.Baadha ya wagombea waliugomea mdaharo huo kabla hata ya siku husika.Leo watangaza nia wameingia mitini na kushindwa kutetea hoja zao.Tunawaomba ndugu watangazani kama wanavyokimbilia lile jumba kubwa jeupe wakimbilie na midahalo hii.

0 comments:

Post a Comment