Mcheza kikapu Hasheem Thabeet anayekipiga klabu ya Grand Rapid Drive ughaibuni miaka ya karibuni alipata kick kubwa kutokana na mafanikio yake.Nchini Tanzania kwa sasa hakuna anayemuongelea tena sio mitandaoni wala vyombo vya habari.Hakuna hata team Hasheem kule Instagram hii maana yake nini watanzania hamu mthamini tena mbongo mwenzenu,Akirudi Tanzania alikua akiendesha clinic za watoto waweze kuwa wachezaji bora kama yeye miaka ya sasa hatusikii tena anakuja kimya kimya na kurudi kimya.Hata kule kwenye jumba jeupe haitwi tena hii maana yake nini watanzania.Ingawa amekua akisua sua kwenye ligi ya NBA kutolewa na kurudishwa watanzania mkumbukeni nyota wetu.
Thursday, June 4, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



0 comments:
Post a Comment