Jana June 16 2015 Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetualiingia kwenye Headlines baada ya kutangaza kwamba anahitaji kuingia kwenye siasa rasmi kabisa.
Post nyingine ni hii aliyoweka saa chache tu kwenye ukurasa wake @Instagram, haya ni mengine kuhusu yeye na Ubunge>>>”Naanza
kwa kusema Alhamdulillah kwa kufikia hapa nilipo na nawashkuru sana
wazazi wangu kwa kunileta duniani na kunilea katika maadili mazuri…
Nawashkuru pia kwa kunipa Elimu na kunipa chochote nilichokitaka but
more over kwa kunipa support kubwa katika uamuzi wowote niliokuwa
nimeufanya… Kwanzia kushiriki Miss Tanzania mpaka pale nilipoamua
kujiingiza katika maswala ya sanaa… Vitabu vya dini vimeandika inapaswa
tumshukuru Mungu kwa kila jambo, liwe zuri au baya… Pale Mungu alipoamua
kumchukua Daddy Sepetu wangu niliumia sana na nikawa nimeona kama
maisha yangu yalirudi nyuma kidogo, maana ilinibidi nianze kuishi maisha
ya No More Daddy Sepetu…. Maana nilikuwaga ni kipenzi cha Daddy wangu
cuz I happen to be da last born, mwenyewe alikuwa akiniita Miss World
wake…. Nakumbukaga My Late Daddy Sepetu alishawahi kuniambia kuwa
nijaribu kujiingiza katika politics since yeye na siasa ilikuwa ni kama
uji na mgonjwa… And I remember nilimwambia ,”Daddy Sepetu NO sitoweza” …
Alikuwa heart broken sana maana alihisi nikijaribu ntaweza na
kilichokuja kumvunja moyo ni nilipochukua uamuzi wa kufanya
International Business na sio hata Political science au chochote
kilichohusu Siasa nilipoenda Chuo… But hakukata tamaa… Akazidi kuniambia
naweza na nilizidi kukataa… Daddy Sepetu wangu This is for u…. Leo hii
nimejikuta mwenyewe nimefanya uamuzi mzito wa kujiingiza kwenye Siasa na
kuona wat it has in store for me… Najua you are looking down on me
smiling… Ila tu jua kuwa Your wife ambaye ni my Darling Mother nae pia
amechangia kiasi kikubwa sana… Nawapenda sana wazazi wangu maana wanajua
Whats Best for me… Haya sasa naingia vitani… Na sitokubali Defeat… Tho
kuna mengi yanaweza tokea… Namkabidhi Allah yote…. Na niko tayari kwa
chochote… Penye nia siku zote njia haiwezi kukosekana…#KidumuChamaChaMapinduzi#CCMOyeeee#GetAngry#GetInspired#2015AWalkToRemember#Nimethubutu“–>>@wemasepetu
0 comments:
Post a Comment