Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 04, 2015
Kila
siku Duniani kunakua na vituko vya aina tofauti sasa hii unaambiwa
jamaa wameamua kufanya party baada ya mtu anaesemekana hawampendi
kufariki dunia. Kwa hali ya kawaida unaweza kushangaa wanawezaje kufanya party wakati wa msiba sasa Idara ya Hekaheka inakukutanisha na vvijana hawa waliokuwa wakicheza ngoma na kushangilia baada ya msiba huo. 88.1 Clouds Fm inasikika ukiwa Mwanza.
0 comments:
Post a Comment