Kauli mbiu ya Tanzania mpya yatimia,Tanzania kuwa na baraza la mawaziri kumi na nane kuondoa mawaziri mizigo.Idadi ya mawaziri kwa sasa ni 29 mmoja akiwaa waziri wa kazi maalum asiye na wizara muheshimiwa Mwaki Mwandosia.Ili kuzuia ufujaji wa pesa zisizo na tija.
0 comments:
Post a Comment