Posted by Williammalecela.com on Friday, June 12, 2015
 |
Mh. January Makamba Naibu Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Bumbuli akiwa na mkewe, akionyesha fomu yake ya kugombea urais mjini Dodoma leo alipoingia "White House" Makao Makuu ya CCM Dodoma kuchukua fomu hiyo, Mh. Makamba aliwaambia Waandishi wa habari kwamba "Nimeingia kushinda".
|
 |
| Add caption |
Jamaa jembe sana ila nina mashaka na rafu za Kamati kuu
ReplyDelete