Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kimempatia Mwanamuziki Diamond Platinumz Tuzo ya the most inspiring Young Man as a music icon..Tuzo Hiyo ilipokelewa na Mwanamuziki Nick wa Pili kwa Niaba yake kwani yeye alishindwa kufika katika Hafla ya utoaji wa Tuzo hizo kutokana na Ratiba zake kumbana....Hongera Kijana unazidi kutupiga gap tu......

nikkwapili Kwaniaba ya @diamondplatnumz @diamondplatnumz mzawa wa tandale katika hii fani yetu tuliyokuwa tunaitwa wahuni....leo yeye ndio the most inspiring (kijana) as a music icon..

0 comments:
Post a Comment