PATAMU
hapo! Diva wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema msanii
mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ ndiye kila kitu maishani mwake kutokana
na msaada aliompa wa kumtoa kisanii na kumsapoti kwa mambo mengi kikazi.
‘Akianika mwanya’ katika
mazungumzo na Amani juzikati, Johari alisema haoni sababu ya kuficha
ukweli kuwa bila Ray isingekuwa rahisi yeye kufika alipo kisanii hivyo
lazima akumbuke kurudisha shukrani.Thursday, June 11, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment