Imefichuka! Sexy lady mtafutaji anayejishughulisha na fani lukuki
ikiwemo urembo na muziki, Jokate Urban Mwegelo ‘Kidoti’ kwa mara ya
kwanza ameweka wazi kwamba alitaka kunywa sumu kisa kikiwa ni kuumizwa
kimapenzi na mwanaume aliyempenda kupindukia, aya zifuatazo zimesheheni.
Akizungumza katika spesho intavyu na gazeti namba moja la mastaa Bongo,
Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita, Jokate au Jojo alifunguka kwamba,
japokuwa haikujulikana kwa watu wa nje kutokana na usiri mkubwa
uliofanywa na ndugu zake, akiwemo mama mzazi, lakini ameona ni vyema
akaweka wazi ili watu wajifunze namna ambavyo mapenzi yanaweza kuharibu
mustakabali mzima wa maisha ya mtu.
0 comments:
Post a Comment