Jokate
Ikiwa
ni Siku chache zimepita toka Diamond Platnumz Kugalagazwa vibaya na
hasimu wake mkubwa katika muziki Ali Kiba kwenye Tuzo za Kill Music
Awards 2015, Tayari mchawi wa kwanza wa msanii huyo amejitangaza
hadharani...
Akiongea na Redio Clouds kwenye red carpet, Joketi
Mwegelo Kidoti alikiri kumpigia kura Ali Kiba na Kushawisha wetu wengine
wampigia kupitia Instagram na kumtosa mpenzi wake wa Zamani Diamond
Platnumz..

0 comments:
Post a Comment