Saturday, June 6, 2015

Jose Chamelion amenunua nyasi za kupanda nyumbani kwake dola elfu ishirini.Nyasi hizo alinunua kwa njia ya mtandao kutoka barani Asia,Zoysia ni jina la nyasi hizo.Nyasi hizo ni gharama kutokana zikinyauka wakati wa ukame nakumwagiliwa maji hurudia hali yake ya kawaida.Zinaitaji uangalizi muda wote na hukua udongo wowote.

0 comments:

Post a Comment