Monday, June 29, 2015

Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mh. Bulembo akiwa na Katibu wa Organizesheni wa CCM Taifa Mh. Seif Khatibu, mara baada ya kukabidhi pikipiki 170 kwa Makatibu wa Wazazi wa Wilaya na Mikoa ya Tanzania at Mwananyamala kwa Mwinyijuma jana  kwa ajili ya matayarisho ya kampeni za uchaguzi wa Taifa mwezi wa October Mwaka huu.








0 comments:

Post a Comment